Nafasi za kazi bandarini

Nafasi za kazi bandarini

Patflax jr

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
72
Reaction score
1
Saluti kwenu wanajamvi kuonesha nawaheshimu.
Napenda kuuliza kama kuna mwenye fununi za ajira bandarini maana kuna tetesi nilisikia kuwa wametoa nafasi upande wa Takwimu ila kila nikijaribu kutafuta source ya taarifa hiyo nakosa.

Msaada plz
 
Bora ujitose macho makavu ofisi ya utawala hapo utapata jibu lako.
 
Nenda na bahasha ya kaki¡!!¡!¡!¡
 
bandari sasa wanachukua watu kupitia taasisi za serikali kama ERB.kwa ma engineer
 
Back
Top Bottom