Nafasi za kazi Bakery, Sinza

Nafasi za kazi Bakery, Sinza

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,981
Reaction score
3,635
Wanahitaji WASICHANA TU, wawili mmoja wa usafi na mwingine wa sales, Bakery iko sinza. Wawe wanaishi Karibu na Sinza au umbali wa kupanda gari moja.

Wa Usafi per day 5,000 kwa Kuanzia (utalipwa kwa kila wiki au mwezi), nauli na chakula.

Mtu wa mauzo, mshahara Ni makubaliano na nauli. Usafiri wa kusambazia bidhaa upo.
 
Nina mdogo wangu yeye ni wa kike lakini ameishia kidato cha nne anakaa River Side vipi anaweza pata yupo sharp
 
Back
Top Bottom