Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

Passport za referees nazo mnawaza?
Tafuta watu wakupe picha then upload. Lakini kuweni makini, PCCB msiwawekee vyeti vya kufoji, mtajuta
 
Passport za referees nazo mnawaza?
Tafuta watu wakupe picha then upload. Lakini kuweni makini, PCCB msiwawekee vyeti vya kufoji, mtajuta
Hv ni kweli kuna watu wana vyeti vya kufoji? Mbna hua siamini?? Zile index namba wanazipataga wapi?
 
Sidhani kama ni sahihi kufanya cheti cha JKT kiwe kigezo, kwani hivi karibuni si vijana wote wamekuwa wakichaguliwa kujiunga na JKT. Huu ni ubaguzi wa wazi kwa vijana ambao hawakuwahi kuchaguliwa kujiunga na JKT.
kwa wale ambao hatuna cheti cha jkt pale unaweka nini ili uweza kutuma maombi?
 
Hizi nafasi wanaandika tu kufanya watu wajue kama Government inatoa ajira ila ukweli ni kwamba hata uwe na sifa zote hizo utapigwa nachini
SURE mkuu HAPO utakuta kati ya hizo nafasi 350 tayari 200 zina watu wao nyie mnaenda gombea 150 ziliobaki na mnajikuta applicants wote mpo 50,000 nafasi 150

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom