Nafasi za kazi (2) za u-secretary kwenye stationery.

Lsk

Senior Member
Oct 10, 2011
178
26
Wanatafutwa wafanyakazi wawili wa kike kuanzia miaka 18 - 30 wa kufanya kazi katika stationary mpya inayotarajiwa kufunguliwa in next 2weeks maeneo ya Mlimani City. Mwombaji awe na elimu ya angalau kidato cha Nne na kusomea Full-secretarial course na uzoefu wa kazi hiyo wa angalau mwaka mmoja. Mwenye kuhitaji ani-PM humuhumu janvini.
 
mi ni mwanaume nina uzoefu mkubwa sana wa kazi za stationery , zaidi ya miaka 7, nina umri 35 thomnel@hotmail.com
 
KWELI KUNA WATU VUCHWA MAJI NA NDIO MAANA DIV 0 HAZIISHI KIDATO CHA NNE WALA CHA SIT UNAKUTA LIJITU LINA WEKA NAMBA YAANI BOSI NDIO AMTAFUTE OKKK SIO TATIZO NA BADO MTU KAAMBIWA NI PM LIJITU LINAWEKA NAMBA HAPA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom