Aaah kumbe BantuGirl! Kwa hiyo huyo ndug yang itabid atumie vyeti vya O-level,Adv. Au Bachelor maanake yeye amemaliza Chuo kikuu hivi karibuni maanake huwa wanasema kuwa huwa kunakuteswa sana kama wakijua wewe una elimu ya juu kuliko walimu wako, naomba jibu tafadhali . Asante!
Ukimaliza komaa tu na hiyo fani yako au kama utaweza kuvumilia,nina mdogo wang unaelekea mwaka wa pili sasa anasubiria hizo nafasi za jeshi anahangaika na vibarua tu! Lakini usikate tamaa kila mtu na bahati yake.