Simbamteme JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 808 Reaction score 2,172 May 7, 2012 #1 Jamani wadau,nimeenda ofisi za wilaya ya ilala nkakutana na watu nyomi na Cv zao,kumuuliza mmoja wao akanambia post za JKT kwa watu wa form 6(freshers) zimetoka..So changamkien kwa wale mnaozitaka..nawasilisha...
Jamani wadau,nimeenda ofisi za wilaya ya ilala nkakutana na watu nyomi na Cv zao,kumuuliza mmoja wao akanambia post za JKT kwa watu wa form 6(freshers) zimetoka..So changamkien kwa wale mnaozitaka..nawasilisha...
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 987 Reaction score 220 May 7, 2012 #2 Kina mura mupo?