Torch
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,203
- 1,133
wakuu naomba kwa aliyejikoni mwenye kufahamu ni lini nafasi za jeshi zitatoka kupitia jkt, kwa mwaka huu 2013.
binafsi nimesikia juu juu(unconfirmed) kuwa zitatoka mwezi wa 9 mwishoni au wa 10.
naombeni mwenye taarifa zaidi za kina anifahamishe ili nifanye process za ku'apply.
note: nafasi hizo zisiwe kwa ajili ya form 6 leaver bali ajira rAsmi.
shukrani.