duuh umeambiwa tuma cv umepewa email- labda uulize title email. umeambiwa internship...mbn lugha rahs sanaunaidirect wap, yaani organisation gani??
duuh umeambiwa tuma cv umepewa email- labda uulize title email. umeambiwa internship...mbn lugha rahs sana
kasema tuma application
na cv.... how do u expect to write an application bila kuidirect
somewher... if it was just cv nisinge uliza....soma post yake
vizuri....
ilikuwa watuma cv na barua....mi nilituma na nimeitwa kwa interview kesho
Tangazo lipo chini ya kiwango
siwezi kukubali mtu kama huyo aliyeandika tangazo hilo anifanyie hiyo interview labda mimi ndio nimfanyie yeyeendeleeni kutosadiki....mimi nimetoka kwa interview.
interview ilikuwaje? na mlikuwa wangapi?endeleeni kutosadiki....mimi nimetoka kwa interview.
Tangazo limekaa kihuni sana poleni wahanga wa ajira
haa haaa humu ni shida.endeleeni kutosadiki....mimi nimetoka kwa interview.
du, nimechelewa dili la intern basi tena, uwa nayapendaga aya madili.