Nafasi za Field Tanga au popote.

skull

Senior Member
Aug 18, 2016
157
104
Wakuu Nimekuja mbele yenu kuomba nafasi ya field katika kiwanda chochote Kipaumbele kikiwa Tanga mana kule kila mahali ninapakukaa, Ila kama itakuwa ni out of tanga na walau kuna Hata hela ya kula sio tatizo pia nipo tayari, Mimi ni mwanafunzi ktk Fani ya Uhandisi wa Umeme ngazi ya Stashahada Nipo Chuo cha Ufundi Arusha mwaka wa Pili. Nina uzoefu Wa kazi kiasi chake na vitu vingi nafanya Katika fani yangu hii ya Umeme.
 
Back
Top Bottom