Son Of Almighty
Senior Member
- Jun 28, 2017
- 123
- 428
Asiyefanya kazi na asile.Huoo ni unyonyaji
Ikitokea mtu hajauza mwezi mzima manake hapati kitu.
Atakula wapi,kodi, umeme, maji nauli etc...
Unaweza kumpa Hii kazi ndugu yako?
Wacheni unyonyaji
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tuwasiliane ndugu kwa namba tajwa, asanteHii ndo ile ya kulipwa mpaka uwe umeuza au? Mi nipo mwanga ila nieleweshe kidogo kuhusu mshahara
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wengi nadhani huwa hatufikiri au kutafakari kabla ya kujibu.. Huu ni uwekezaji watu wamefanya, na faida wanayopata through sales/mauzo ndo salary na commission hutokea hapo.. Sijui kama ulitafakari hili kabla ya kujibu, au ulikurupuka!?
Kampuni nyingi sana siku hizi malipo ya commissions ni starting point for evaluation ya committment na performance ya mtu then ajira hufuata baada ya kuridhika na utendaji. Wapo walioanza na nafasi hizo, wakapambana na mwisho wamepata ajira with fixed salary, bado anapata 15% of his/her team commission, full medical cover 1yr etc, now and mambo yanasonga..
Ingekuwa kampuni yako inawaza ajiri mtu na kumlipa mshahara pasipo kuleta mauzo!? Unaelewa positive side of commission!? Ni kumlipa mtu ujira stahiki anaostahili kulingana na kazi aliyofanya!
Utajisikia Vipi uko ofc moja na unajikuta mko Idara moja na mtu/watu halafu unapiga kazi kuliko wao but in the end mnalipwa sawa!? Utafurahia!? Jibu, ni hapana na ndo maana commission ikawa introduced, ili kila mmoja apate stahiki yake. Simply, usipouza hupati commission maana disadvantage ya salary ni mtu kurelax coz anajua mshahara upo, haonei huruma kampuni bali anajionea huduma yeye..
Tuziweke watu wa kulaumu kila kitu, think before saying anything.. We subiria zenye mshahara, the world has changed now..
Wenye uhitaji, wawasiliane nami.
Kwa watanzania walivyo wavivu hiyo ni best option, commission only on salesWapeni mshahara watu wajitume mfano: 100,000 + commission(%),kwa sababu huyo kijana atakuwa anapambana kutafuta masoko na ahadi nyingi atakuwa anapata,wekeni miezi 6 ya majaribio huku mkiwalipa kiasi fulani.
Ndugu nikisema nibishane na wewe huenda ikawa najikosea heshima, waliokuwa na uhitaji wamewasiliana nami na nimewafafanulia kila kitu..Embu tutolee upupu wako hapa.
Unajua unaweza ukafanya kazi kwa bidii kubwa mwezi mzima lakini wateja wakanunua bidhaa mwezi unaofuata.(kwa iyo mwezi huu usipate)
Mishahara kwenye pale unapoanzisha biashara ni sehemu ya mtaji ambao unatakiwa uhesabie.
Imagine unafamilia,
Unawezaje kufanya kitu kama hiko kama kazi unayoitegemea??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Uko sahihi kabisa Mkuu, watu kama hawatoi wanaopingapinga vitu ni vya Kuwaacha.Kwa watanzania walivyo wavivu hiyo ni best option, commission only on sales
Sent using Jamii Forums mobile app