Nafasi za Afisa Ugavi

UNLOCK

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
268
Reaction score
37
Hivi serikali inatoaga ajira kwa wa2 hawa kama ndio mbona cjawahi sikia na pia nitazipataje maana nipo mbioni kumaliza kozi yangu ya afisa ugavi.
Ahsantee.
 
Uje kwa ulimwengu halisi wa kitanzania karibu sana. More expectation more stress
 
Wewe ni afisa ugani au ugavi maana sijaelewa, kama ni ugavi basi usijal kaz zitatoka moja moja, post moja mnaitwa mtu mia sita.
 
Duh andaa kujiajiri ugavi wamekua wengi sana duh ugavi ingekua ugani heri
 
Wale wote walio vyuo mtaani kuko tofaut na tunavyokuona tukiwa chuo, ni kugumu aisee kama huna wa kukushika mkono, soma kwanza umalize kwan kumaliza tu chuo kwa baadh ya vyuo ni kazi tosha.
 
Wale wote walio vyuo mtaani kuko tofaut na tunavyokuona tukiwa chuo, ni kugumu aisee kama huna wa kukushika mkono, soma kwanza umalize kwan kumaliza tu chuo kwa baadh ya vyuo ni kazi tosha.

Umenikumbusha Mzumbe University main campus. Kazi ilikuwepo na nikaimaliza vyema
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…