C chifu77 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2014 Posts 902 Reaction score 597 Jul 3, 2015 #1 Kwa sasa nafasi ya urais iko wazi. Anahitajika rais wa awamu ya 5. Cha ajabu sasa nafasi yenyewe iko 1 tu lakini walioomba ni watu zaidi ya 40. Je hii inaonyesha tatizo la ukosefu wa ajira lilivyo kubwa? Yaani nafasi 1 wana-apply watu 40. Duuhhh
Kwa sasa nafasi ya urais iko wazi. Anahitajika rais wa awamu ya 5. Cha ajabu sasa nafasi yenyewe iko 1 tu lakini walioomba ni watu zaidi ya 40. Je hii inaonyesha tatizo la ukosefu wa ajira lilivyo kubwa? Yaani nafasi 1 wana-apply watu 40. Duuhhh
Wapoti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2013 Posts 2,824 Reaction score 1,100 Jul 3, 2015 #2 Sio urais hao watu zaidi ya 40 unaowaona wanakimbilia IKULU wanafata urahisi wa maisha
C chifu77 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2014 Posts 902 Reaction score 597 Jul 3, 2015 Thread starter #3 Wapoti said: Sio urais hao watu zaidi ya 40 unaowaona wanakimbilia IKULU wanafata urahisi wa maisha Click to expand... Ndo ivo mkuu ukizingatia na dola inavyozidi kupanda... wanatafuta ajira mapema
Wapoti said: Sio urais hao watu zaidi ya 40 unaowaona wanakimbilia IKULU wanafata urahisi wa maisha Click to expand... Ndo ivo mkuu ukizingatia na dola inavyozidi kupanda... wanatafuta ajira mapema