faru john junior
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,592
- 1,725
Habari za jioni wanajf ni matumain yngu kuwa wazima wa afya.
Kama mada inavyojieleza hapo juu niko hapa naangalia ITV kipindi cha malumbano ya hoja mada ikihusu shule za serikali kufanya vibaya,nini kifanyike.
Kumekuwa na michango tofauti ya nini kifanyike. Binafsi nimekuwa na mtazamo wangu ambao ningependa niulete kwenu.
Langu ni kuhusu mfumo wetu wa elimu hasa kwa miaka ya hivi karibuni mitihani ya darasa la saba kuwa ni ya kuchagua kwa masomo yote hata hesabu binafsi hili ni tatizo kbsa mtu anaweza kufaulu mitihani kwa kubahatisha kwa98%. Akifika secondary mambo yanakuwa tofauti
Pili lugha yetu inayotumika ngazi za chini std seven ni tofauti na lugha ya secondary ikumbukwe kuwa umri mzuri wa mtoto kujifunza ikiwa ni pamoja na lugha ni umri akiwa na umri mdgo hasa akiwa shule za awali je serikali haioni hili kuwa ni tatizo? Kwa nini wasifanye uamuzi wa kuamua ni lugha ipi ya kutumia?
Swali langu kwenu je ni nchi zipi duniani zenye mfumo wa elimu kma tz na wanafanya vizuri hasa hili kuwa na lugha 2 shule za awali lugha tofauti na secondary na vyuo ni lugha nyingine.
Naombeni msaada