The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,196
- 3,316
Mheshmiwa Mbowe alibadili gia angani akamkaribisha Lowassa agombee urais kupitia CHADEMA na kumweka pembeni Dr. Slaa, yakatokea yaliyotokea. Ila mimi kwa nia njema kabisa najiuliza,
Je, Mbowe anaendelea kuwa na imani na Lowassa kama mwanzo?
Ipi nafasi ya Lowassa ndani ya CHADEMA kulingana na aina ya siasa wanazofanya?
Je, CHADEMA na Mbowe watakua tayari kumsimamisha Lowassa uchaguzi ujao agombee urais?
Ikitokea kaachwa kugombea urais, Lowassa atakubali kuwa backbencher?