TANZANNIA
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,047
- 384
nimekuwa nikijiuliza mara nyingi kuhusu nafasi ya kocha kwenye timu,utakuta timu inafanya vibaya hadi wanaamua kumtimua kocha.lakini akija kocha mpya timu iaanza kufanya vizuri mfululizo,huyo kocha mpya ankuwa amefanya nini wakati ndio kwanza ana siku tatu