Nafasi ya kazini kampuni ya sheli total

Nafasi ya kazini kampuni ya sheli total

cris emanuel

Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
16
Reaction score
10
Wanahitajika wafanyakazi wa kazini mbalibali kwenye kampuni yetu kama madereva kujaza mafuta kwenye nagari na wafanyakazi kwenye min super market zetu mawasiliano 0717342414
 
Screenshot_20181206-195717.png
 
Unauliza ofisi yenu inaitwaje anakuambia njoo magomeni ukifika piga simu,uje na elfu 10.hawa watu wanaharibu sana majukwaa yanajitahidi kutangaza nafasi za kazi na kupoteza MB za watu
 
Unauliza ofisi yenu inaitwaje anakuambia njoo magomeni ukifika piga simu,uje na elfu 10.hawa watu wanaharibu sana majukwaa yanajitahidi kutangaza nafasi za kazi na kupoteza MB za watu
Bora ata wakwambie elfu kumi kuliko 50 mi mewaambia niwape 50 wanipeleke kwa meneja mwajili ili nianze kazi nkawambia wanipeleke tyu iyo 50 cna kwa sasa ila watanikata mwisho wa mwezi kwenye mshahara wangu tena wasikate 50 wakate laki nzima wakesema niwape barua watanipigia cm apa ndo nasikilizia wanipigie cm hahahaaaaaaaaa haaaaaa
 
Back
Top Bottom