J John W. Mlacha JF-Expert Member Joined Oct 4, 2007 Posts 3,504 Reaction score 1,343 Aug 13, 2013 #1 Natafuta mfanyakazi wa usafi atafanya kazi kwenye mgahawa , mvulana.. piga simu............ .. so urgent ..ni Dar es salaam.. JOB CLOSED
Natafuta mfanyakazi wa usafi atafanya kazi kwenye mgahawa , mvulana.. piga simu............ .. so urgent ..ni Dar es salaam.. JOB CLOSED
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,960 Aug 13, 2013 #2 Black Bat said: Natafuta dish washer atafanya kazi kwenye mgahawa , mvulana.. piga simu 0714 925 525 .. so urgent ..ni Dar es salaam.. Click to expand... Yaani ulivyoandika, mtu anaweza akadhani unatafuta mashine...
Black Bat said: Natafuta dish washer atafanya kazi kwenye mgahawa , mvulana.. piga simu 0714 925 525 .. so urgent ..ni Dar es salaam.. Click to expand... Yaani ulivyoandika, mtu anaweza akadhani unatafuta mashine...
Soso J JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 1,976 Reaction score 1,224 Aug 13, 2013 #3 Vijana tuchangamkie nafasi hii
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,645 Reaction score 5,530 Aug 13, 2013 #4 Hiyo machine inapatikana zanzibar
Msamiati R I P Joined Mar 6, 2011 Posts 1,063 Reaction score 700 Aug 13, 2013 #5 Black Bat said: Natafuta mfanyakazi wa usafi atafanya kazi kwenye mgahawa , mvulana.. piga simu 0714 925 525 .. so urgent ..ni Dar es salaam.. Click to expand... mgahawa upo wapi mshahara kiasi gani
Black Bat said: Natafuta mfanyakazi wa usafi atafanya kazi kwenye mgahawa , mvulana.. piga simu 0714 925 525 .. so urgent ..ni Dar es salaam.. Click to expand... mgahawa upo wapi mshahara kiasi gani
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,028 Reaction score 59,657 Aug 13, 2013 #6 Msamiati said: mgahawa upo wapi mshahara kiasi gani Click to expand... Namba ya simu si hio hapo piga ama unataka uwanufaishe watu wote. Mnalalamika Tz hakuna kazi haya sasa .. Changamieni hizo kazi huku mtoni mambo sio
Msamiati said: mgahawa upo wapi mshahara kiasi gani Click to expand... Namba ya simu si hio hapo piga ama unataka uwanufaishe watu wote. Mnalalamika Tz hakuna kazi haya sasa .. Changamieni hizo kazi huku mtoni mambo sio
K king'asti mimi Member Joined May 29, 2013 Posts 9 Reaction score 0 Aug 14, 2013 #7 kwa nn hutaki wasichana?
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Aug 14, 2013 #8 Kuna yule kijana anakujaga hapa kila siku analalamika anataka kazi. Nadhani anaitwa ibra2013 kama sikosei Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kuna yule kijana anakujaga hapa kila siku analalamika anataka kazi. Nadhani anaitwa ibra2013 kama sikosei Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Shy land JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 6,245 Reaction score 2,848 Aug 14, 2013 #9 Nafasi hiyo jamani,
J John W. Mlacha JF-Expert Member Joined Oct 4, 2007 Posts 3,504 Reaction score 1,343 Aug 15, 2013 Thread starter #10 Tayari leo nimepata mtu.