ghetopuzzle JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 440 Reaction score 504 Jan 30, 2017 #1 Wakuu habarini Nina mdogo wangu wa kiume kamaliza chuo july ninaomba kama kuna kazi yoyote around dodoma kama anaeza kufanya hata kama ni ya kufundisha (kwa masomo ya chemistry na biology)au hata masomo yoyote ya shule ya msingi Nawasilisha
Wakuu habarini Nina mdogo wangu wa kiume kamaliza chuo july ninaomba kama kuna kazi yoyote around dodoma kama anaeza kufanya hata kama ni ya kufundisha (kwa masomo ya chemistry na biology)au hata masomo yoyote ya shule ya msingi Nawasilisha