S suzy daniel Member Joined Mar 12, 2014 Posts 57 Reaction score 10 Mar 12, 2014 #1 Amani ya bwana wapendwa, Ndugu zangu mimi nina Diploma ya Jonalism natafuta kazi pia nina d4 ya Kisw, Eng, Biology,na History. Nisaidieni chuo gani naweza kusoma.
Amani ya bwana wapendwa, Ndugu zangu mimi nina Diploma ya Jonalism natafuta kazi pia nina d4 ya Kisw, Eng, Biology,na History. Nisaidieni chuo gani naweza kusoma.
K karibukwetusingida JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 290 Reaction score 138 Mar 12, 2014 #2 nenda saut kamanda kapge certificate km una pesa
W Wisest man JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 993 Reaction score 333 Mar 13, 2014 #3 suzy daniel said: Amani ya bwana wapendwa, Ndugu zangu mimi nina Diploma ya Jonalism natafuta kazi pia nina d4 ya Kisw, Eng, Biology,na History. Nisaidieni chuo gani naweza kusoma. Click to expand... Heading inasema unataka kazi na hapo mwisho unauliza ni wapi unaweza kusoma, sasa tutajua unataka nini kati ya kusoma na kazi?
suzy daniel said: Amani ya bwana wapendwa, Ndugu zangu mimi nina Diploma ya Jonalism natafuta kazi pia nina d4 ya Kisw, Eng, Biology,na History. Nisaidieni chuo gani naweza kusoma. Click to expand... Heading inasema unataka kazi na hapo mwisho unauliza ni wapi unaweza kusoma, sasa tutajua unataka nini kati ya kusoma na kazi?
O Oyono JF-Expert Member Joined Sep 9, 2013 Posts 222 Reaction score 35 Mar 13, 2014 #4 Nyoosha maelezo mkuu haujaeleweka!