Nafasi ya kazi ya ualimu

MESAYA

Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
55
Reaction score
56
Shule ya sekondari ya wasichana ya Lazeli iliyopo Kisongo Arusha inatangaza nafasi moja ya kazi ualimu kwa masomo ya biashara.
Mwombaji awe na sifa zifuatazo:
1. Awe na shahada au stashahada ya uwalimu kutoka chuo kinachojulikana
2. Awe na uzoefu katika kufundisha masomo ya commerce na book keeping wa muda usiopungua miaka miwili
3. Awe tayari kuanza kazi mapema mwezi ujao na awe na makazi jijini arusha
4. Awe amesomea masomo ya ECA kwa kidato cha tano na sita
Mwombaji atume maombi yake kwa kupeleka barua ya maombi na CV yake shuleni kisongo ama Elans bookshop mitaa ya kaloleni karibu na msikiti
Maombi yote yatumwe kwenda kwa mkuu wa shule au mkurugenzi wa shule
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 20/10/2013 saa kumi jioni.
 
sawa mkuu,vp hamuhitaji walimu wa masomo mengine?km Physics,Chemistry,Biology n.k
 
Inakuaje kama kwa sasa sikai Arusha lakini nikipata hiyo kazi nipo tayari kuhamia Arusha???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…