Nafasi ya kazi ya Ualimu

Ongezeni mshahara angalau ufike mil 3 Ili walimu tuombe. Pia muwe na bima nzuri na iwe inalipwa na muajiri. Pia muwe mnatoa bonasi Kila baada ya ku renew mkataba, isiyopungua mil 10.

Hapo tutaomba walimu wale Waziuri tunao elewa mambo. Tuwafundishe vijana wafaulu vizuri.

Ndoto yangu hio "Siku nikija kuanzisha shule ntawalipa walimu hivyo".
 
Migogoro❌ Morogoro✅

Ifakala❌ Ifakara✅
 
Mshahara kima cha kuanzia ni hicho juu ya laki 6 na chini ya milion 1(huwa inapanda kila mwaka)

Bima analipia muajiri

Kila baada ya kuongeza au kumaliza huwa kuna Fedha ambayo ni (juu ya milion 2 na chini ya milion 5) pia kuna Fedha ya nauli kwa muajiri na wategemezi 5
 
Mkifikia kutafuta mwalimu wa Mathematics, nitaomba taarifa pia ...kazi njema
 
hii signature yako imenikumbushambali sana, ila pia imeniambia kuwa Tanzania uhai wa mtu si kitu mbele ya sheria na mamlaka
 
Sawa mwalimu. Hoja yako ni ya kuzingatiwa. Nchi wengine, wanaojitambua- ualimu ni taaluma yenye mshahara mnono na marupurupu ya kutosha
 
Namba za simu
 
Sisi tuliomaliza juzi hatuhutajiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…