Amos Moses
Member
- Apr 9, 2020
- 16
- 15
Hapa ndipo wajasiriamali mnakwama. Kwa nini unataka kujipa kazi ya kusoma maemail ya watu ambao ungewaepuka kama tangazo lako lingejitosheleza. Lifanye tangazo lako kuwa exclusive weka vitu kama preferred sex, working hours, na hata mshahara ili anaekutafuta aje kwa nia.Habari ndugu zangu.Mimi ni mmiliki wa pharmacy ktk jiji la Dar nilikuwa natafuta mfanyakazi wa pharmacy .
Vigezo:
-Awe na elimu ngazi ya certificate time
-Awe mkazi wa Dar
-Awe na uzoefu wa kazi
Nb: atume CV zake kupitia amospingpang@gmail.com
Hapana ameweka taarifa za muhimu.Zinatosha mtu kuamua.SEX sio kigezo cha kazi.Working Hours sio kigezo maana hizo ni standard.Mshahara ni maelewano.Kama mtu anataka kazi ataomba tu na yeye kusoma email ni sehemu ya kazi yake kama mjasiriamaliHapa ndipo wajasiriamali mnakwama. Kwa nini unataka kujipa kazi ya kusoma maemail ya watu ambao ungewaepuka kama tangazo lako lingejitosheleza. Lifanye tangazo lako kuwa exclusive weka vitu kama preferred sex, working hours, na hata mshahara ili anaekutafuta aje kwa nia.
tunakujaHabari ndugu zangu. Mimi ni mmiliki wa pharmacy ktk jiji la Dar nilikuwa natafuta mfanyakazi wa pharmacy.
Vigezo:
- Awe na elimu ngazi ya certificate time
- Awe mkazi wa Dar
- Awe na uzoefu wa kazi
Nb: atume CV zake kupitia amospingpang@gmail.com
Hamna watu waliosoma pharmacy humu?
Endelea kusubiri mkuu
Hapo kwenye muda wowote ndio penye shidaHabari za muda huyu ndugu zangu.Mimi ni mmiliki wa Pharmacy iliyopo Dar.Nilikuwa nahitaji mfanyakazi mwenye vigezo vifuatavyo:
-Awe ana cheti cha full technician level 6(ordinary diploma)
-Awe ana kibali toka Pharmacy council cha kufanya kazi .
-Awe ana uzoefu wa kufanya kazi (community Pharmacy not hospital)
-Awe mkazi wa Dar esalam
-Awe tayar kufanya kazi muda wowote.
NB:
Cv itumwe kupitia :amospingpang@gmail.com
Hamna watu waliosoma pharmacy humu?
Endelea kusubiri mkuu
Labda mleta mada alitolee ufafanuziHapo kwenye muda wowote ndio penye shida
Hapo nahisi ana maanisha kama ni Night shift Pia...weekendHapo kwenye muda wowote ndio penye shida
Hapo nahisi ana maanisha kama ni Night shift Pia...weekend
Habari za wakati huu ndugu zangu,
Mimi ni mmiliki wa Pharmacy iliyopo maeneo ya sinza Dareesalam ,nilikuwa natafuta mfamasia kwaajili ya usimamizi wa Pharmacy hiyo.
Kwa mawasiliano nicheki
Whatsup no:0762619116