Nafasi ya Kazi ya Kujitolea / Freelancing ndani ya Morogoro


Cards Fantasy

Cards Fantasy

Senior Member
Joined
Nov 3, 2016
Messages
153
Likes
55
Points
45
Cards Fantasy

Cards Fantasy

Senior Member
Joined Nov 3, 2016
153 55 45
Habari za Leo Wanajukwaa. Poleni na Mihangaiko na Majukumu a Kila Kukicha.

Napenda Nipate Vijana wenzangu Wawili, Wa Kike Mmoja na Wa Kiume Mmoja, Wakazi wa Morogoro na Ambao wanaujua Vizuri Mji Huu wa Morogoro. Kuna Nafasi ya Kujitolea au Freelancing inategemea na Makubaliano yetu Tutakayokubaliana.

Elimu
ni Kuanzia Kidato cha Nne hadi Diploma

Umri
ni Kuanzia Miaka 18 hadi 28

Ujuzi wa Ziada
Uwezo wa Kujieleza kiufasaha na Kuelezea kazi za Offisi yetu kwa wateja wako wa Mtandaoni au wa Kawaida.

Malipo
Malipo ni kwa Commission kwa Kila Trasanction au Deal utakayoipitisha. Pia Kuna Allowance ya Nauli, Vocha na Bundle kwa Kila Week/Mwezi

I Wish Niandike Mengi Hapa, Incase Upo Interested au una maswali yoyote, Nichek kwa Email na Namba za Simu Hizo Hapo Chini. Unaweza Tuma CV yako, nipo online hadi saa 4 asubuh, hopeful ntaipitia na kukupa feedback fast.

Niwatakie Kila la Kheri na Samahani kwa Yoyote niliyemsumbua.

0712 750 250, cardsfantasy@gmail.com
 
nobody knows but me

nobody knows but me

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Messages
528
Likes
357
Points
80
Age
29
nobody knows but me

nobody knows but me

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2016
528 357 80
Hamna jipya, mnataka mtu anaeijua vizuri morogoro?! 1.Anaenda kuguide watalii ama 2.kutembeza vyombo mtaani?!
Ila kwa suala la utalii Morogoro ni ngumu...labda namba 2.
 
Cards Fantasy

Cards Fantasy

Senior Member
Joined
Nov 3, 2016
Messages
153
Likes
55
Points
45
Cards Fantasy

Cards Fantasy

Senior Member
Joined Nov 3, 2016
153 55 45
Hamna jipya, mnataka mtu anaeijua vizuri morogoro?! 1.Anaenda kuguide watalii ama 2.kutembeza vyombo mtaani?!
Ila kwa suala la utalii Morogoro ni ngumu...labda namba 2.
Mkuu, Hakuna Vyombo wala Utalii, Nimeanzisha Small Printing Business Huku, Mimi si Mwenyeji sana mkoa huu, Nahitaji Wanaoujua Mji wanisaidie Kuitangaza Hiki Ki Kampuni Kangu Kwa Dedicated Clients. Pole kwa Kukwazika.
 
Cards Fantasy

Cards Fantasy

Senior Member
Joined
Nov 3, 2016
Messages
153
Likes
55
Points
45
Cards Fantasy

Cards Fantasy

Senior Member
Joined Nov 3, 2016
153 55 45
Nimeanzisha Small Printing Business Huku, Mimi si Mwenyeji sana mkoa huu, Nahitaji Wanaoujua Mji wanisaidie Kuitangaza Hiki Ki Kampuni Kangu Kwa Dedicated Clients.
 
nobody knows but me

nobody knows but me

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Messages
528
Likes
357
Points
80
Age
29
nobody knows but me

nobody knows but me

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2016
528 357 80
Mkuu, Hakuna Vyombo wala Utalii, Nimeanzisha Small Printing Business Huku, Mimi si Mwenyeji sana mkoa huu, Nahitaji Wanaoujua Mji wanisaidie Kuitangaza Hiki Ki Kampuni Kangu Kwa Dedicated Clients. Pole kwa Kukwazika.
Sawa mkuu....sijakwazika ila sorry kwa ku-misunderstand point yako ya kutafuta mtu anaeijua vizuri morogoro.
 

Forum statistics

Threads 1,273,057
Members 490,259
Posts 30,469,138