nafasi ya kazi udereva

nafasi ya kazi udereva

Qiffih

New Member
Joined
Nov 20, 2018
Posts
3
Reaction score
1
HABARI WAKUU, nina ndugu yangu anatafuta kazi ya udereva daladala, umri miaka 25, ana uzoefu miaka 2. elimu yake DARASA LA SABA.. Leseni yake ina madaraja A, B , C1,C2,C3,D,E.

0623 314180, 0620587262
 
Duh kweli hali ni mbaya mpaka madereva daladala wanakosa magari
 
Back
Top Bottom