Nafasi ya Kazi TIGO, Tanzania

Nafasi ya Kazi TIGO, Tanzania

activemedia africa

Senior Member
Joined
May 28, 2013
Posts
141
Reaction score
26
[h=2][/h]

[TD="colspan: 2"]Role Purpose

Design platforms and system architecture to support our Administrative Activities like Mediation, Provisioning, Fraud, Interconnection, Procurement, Inventory Management, Accounting, Fixed Assets, Business Process Automation, etc. and deliver end to end solutions.
Key Responsibilities

• Generate requirement documents according to user needs, including all necessary elements for interfacing and application development. Propose improvements to actual processes and programs.

• Define specifications and generate proper documents, including security and compliance requirements, process diagrams and data structures. Notify impacts to all related areas.

• Create specifications for software development.

• Coordination of external services for software development, interfacing, integration, process automation. Define software development deliverables and schedules; track activities progress and completion. Keep requesters informed.

• Coordinate and execute testing processes for software and acceptance tests, previous deployment in production.

• Provide necessary documentation related to new established processes or software applications. Keep it updated.
Position Requirements


More details and to apply click here [/TD]
 
Umesema wapi kuna kazi? Kama ni Tigo mie sitaki hata kusikia upuuzi huo, bora nibaki jobles
 
Kawapeni mahawala zenu au ndugu zenu,....kama tu kazi za customer cares hadi uhonge laki 3 spanco kwa mwanamme,..kwa mwanamke inawezekana wanamwomba rushwa ya ngono....hakuna watu wabaya kama ma hr.....kaama kuna kiongozi wa tigo ataona haya malalamiko nna ushahidi bz mwenyewe nshafanyiwa hivyo
 
Kawapeni mahawala zenu au ndugu zenu,....kama tu kazi za customer cares hadi uhonge laki 3 spanco kwa mwanamme,..kwa mwanamke inawezekana wanamwomba rushwa ya ngono....hakuna watu wabaya kama ma hr.....kaama kuna kiongozi wa tigo ataona haya malalamiko nna ushahidi bz mwenyewe nshafanyiwa hivyo

Uliombwa rushwa ya ngono au pesa?
unaweza ukasimulia kwa kifupio ilikuwaje?
 
Kuna jamaa wa spanco tigo anazuga watu wanaoleta cv tu ila hadi utoe laki 3 kama ni men ndio unapata kazi ya customer cares kuna wadau wengi na rafiki zangu wameingia kwa njia hiyo mimi nliona ntoe lk 3 kwa mshahara wa laki 2 na..... Nkagoma kama kuna aliyeajiriwa kwa njia halali ni kabla huyo hr hajaingia naomba customer cares wa tigo recent years changieni kama nadanganya labla mwe mnamwogopa huyo asst.hr ushauri wangu bora hr department ya spanco tigo waseme tu kua ukitaka kazi uje na laki 3
 
Uhonge lak3 kupata kazi ya lak2!?, labda kama kuna pato la ziada baada ya kuanza kazi.
 
Duh si mchezo wanatumia udhaifu wetu wa jobles kutimiza haja zao. Vijana wa sasa jua linawaka had ndan watoto sijui waanze biashara bado wadogo ili wapate experience
 
Jamani nyie mnaojifanya mambo haya hamyajui acheni unafki na uzandiki.Mtu mwema ni yule anayesema ukweli.
Nani asiyejua mchezo wa tigo? wanavyohongeka ili kumwajiri mtu?
Halafu ndivyo ilivyo na ukitaka kupata kazi tigo lazima ufahamiane na mtu au kwa mwanamke utakwe kimapenzi ndipo upate.Huu ni wakati wa ukweli na uwazi we shall speak it until our death.
 
Yani hakuna watu wabaya kama ma hr....mm hata kama ww ni ndugu yangu na ni hr tena men ntakuhate,endeleeni kuwapa kazi ndugu zenu na madem zenu hata nafasi zikitoka msitangaze kutuzuga wengine sio lazma tuajiriwe tutatoka kwa michongo yetu mingine
 
kuna jamaa alipangiwa kaz mwanza(bro) kama afisa.......,baada ya wiki mbil TIGO wakatangaza hiyo post moja watu wakapotezewa muda kwa kutuma barua zao na kufanyishwa interview za bure,..mwisho wa cku waliambiwa waache email na number za cmu, atakayepita atataalifiwa..
 
Duuuh!!!
kuna jamaa alipangiwa kaz mwanza(bro) kama afisa.......,baada ya wiki mbil TIGO wakatangaza hiyo post moja watu wakapotezewa muda kwa kutuma barua zao na kufanyishwa interview za bure,..mwisho wa cku waliambiwa waache email na number za cmu, atakayepita atataalifiwa..
 
Back
Top Bottom