Nafasi ya kazi steshenari

Joined
Dec 31, 2012
Posts
23
Reaction score
19
Anahitajika msichana/mvulana kwa kazi ya kuuza vifaa vya steshenari
Awe na uzoefu wa kutosha kumwezesha kutumia kompyuta ipasavyo
Awe na umri si chini ya miaka 18 na si zaidi ya miaka 35
Awe ndani ya wilaya ya Kinondoni, Dar es salaam

kama unauwezo tuma cv kwenda aplication244@gmail.com au tuma kwa PM
 

yupo ila hana uzoefu!!
 

mi ninauzoefu ..najua kutumia computer vzuri kabisa ..naishi mabibo wilaya ya kinondoni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…