Transparen
Member
- Aug 23, 2017
- 80
- 106
Wakuu salama humu anatafutwa Binti mwenye good customer care kwa ajiri ya kuwa secretary Kampuni yetu ni mpya ina deal na mambo ya Utalii na Usafirishaji tunakamilisha kibali tuanze kazi ofisi zitakuwa Town mbele ya Equity bank, Hivo kama una sifa hizo na ni mdada umri kuanzia 18 -30 unakaribishwa kwa ajili ya usaili nitumie mawasiliano yako pm au Kwa email hii jonnesford@gmail.com karibuni