Nafasi ya kazi (sales officer)

Nafasi ya kazi (sales officer)

Mkuu, ni mnahusika na mauzo ya nini? ili nijue kabla sijafunga safari from huku Njombe
 
Mimi nina uzoefu sina udhoefu. Nafikiri Iam disqualified.
 
Natafuta vijana wawili wenye akili timamu,waaminifu,wavumilivu na wenye udhoefu na kazi za mauzo.
Kuna nafasi mbili,zingatia uwe mkoani mwanza.au kama uko mkoa mwingine basi uwe tayar kuja kufanya kazi.preference sana kaka na dada mmoja.
Pm for more info.
Niko shinyanga ila ningependa jua ni mauzo ya nn hasa
 
Back
Top Bottom