Nafasi ya Kazi. Program Manager

stivii

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
222
143
Habari za kazi wadau. Mimi nipo NGO fulani wanatafuta program manager kwenye mradi wa elimu. Kama una uzoefu wa sekta ya elimu especially miradi ya elimu nitumie cv yako.. Sifa ni degree ya education au yoyote ya social science.. Mwenye masters atapewa kipaumbele zaidi..

Nilipata kazi kupitia JF nimeona nirudishe wema kwenu pia.

Deadline ni March 18.. Email address ya kutuma cv only ni mathiassteve1@gmail.com
 
Ubarikiwe sana. Ikitokea ya business field yyote Accounts,Finance,Marketing naomba utukumbuke pia mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom