Nafasi ya kazi personal assistant

Nafasi ya kazi personal assistant

mdaumzalendo1

Member
Joined
Feb 2, 2018
Posts
76
Reaction score
50
Habari;
Anahitajika msichana kati ya miaka 19 hadi 23 kwa nafasi ya kazi ya Personal Assistant kwa Dar es Salaam.
Awe na ujuzi wa lugha ya kiingereza na kiswahili,
awe anajua kutumia kompyuta.
Awe mwepesi kujifunza haraka kwani kutakuwa na mambo mengi sana ya kufanya.
 
Sawa
 
Mkuu mdaumzalendo PM yako ume-limit access matokeo yake ni ngumu kuanzisha conversation.
 
Habari;
Anahitajika msichana kati ya miaka 19 hadi 23 kwa nafasi ya kazi ya Personal Assistant kwa Dar es Salaam.
Awe na ujuzi wa lugha ya kiingereza na kiswahili,
awe anajua kutumia kompyuta.
Awe mwepesi kujifunza haraka kwani kutakuwa na mambo mengi sana ya kufanya.
Nashida na hiyo kazi na vigezo ninavyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom