mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 641
Anahitajika muhudumu wa kiume wa lodge awe na miaka 23 na kuendelea na asiwe na mtoto awe amesomea hotel management piga namba hii haraka 0756452556
mmmh kweli hilo jina majanga ukihusisha na kazi yeneyewe ya lodgeAliyetangaza hiyo nafasi anaitwa MZAMACHUMVINI! haaaaa, kazi nyingine hapana bwna