Nafasi ya kazi leo tarehe 2 october | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi ya kazi leo tarehe 2 october

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by ladyfurahia, Oct 2, 2012.

 1. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,648
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  Jamani waungwana wanajamii wenzangu kuna nafasi ya kazi zimetangazwa kupitia gazeti la
  NIPASHE la leo fuatilieni muone na kuomba hapo kwani nimelisoma leo hii asubuhi
  nafasi zenyewe ni:

  1 Auditor (mwenye ujuzi wa CPA)

  2 Secretary (mwenye uujuzi wa microsoft office, mfano word, excel, publisher n.k na ujuzi wa Tally)

  3 Office Assistant

  4 KATIKA NGO's kuna nafasi pia

  fuatilieni mtapata hapo
   
 2. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Sasa tulio huku Chechnia tutafute gazeti wapi ????
   
 3. C

  CAY JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Come on Ladyfurahia,tuwekee basi hiyo NGO,maana hilo gazeti kulipata ni mpk siku 3 zijazo.Si unajua tena mabo ya pori kwa pori!
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  subiri mkonga wa taifa ukupitie
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  je wakikuita kwenye usaili kupitia hilo GAZETI???
   
 6. C

  CAY JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ukisikia watu tunakosa usahili basi ndo hivyo.Basi tena,nitaona wakati interview imeshafanyika!
   
Loading...