NDIO...!!
Mkuu nashukuru kwa tangazo na naomba hiyo kazi naamini ntaifanya kwa ustadi wa hali ya juu,
ELIMU
Kidato cha nne nmemaliza mwaka 2014
Elimu ya udereva wa magari na leseni class D
UZOEFU
Nimefanya kazi kwenye makampuni binafsi mengi ila makampuni mawili ambayo ni Aramex na Freight Forwarders nilifanya kama mtoa huduma kwa wateja. Kwa hiyo nna uzoefu wa kutosha wa kufanya kazi na wateja.
Nna uzoefu wa kuendesha gari ndogo na pick-up, pikipiki na bajaji na zote nna leseni nazo
Mshahara
Mkuu mshahara ntapenda kama ukinilipa kwa wiki 105,000/= pamoja na allowance za mawasiliano na kazi hatarishi.