jisanja JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 1,075 Reaction score 684 Nov 3, 2014 #1 Anahitajika mdada wa saluni maeneo ya bugurun...ambaye atakuwa serious na kazi yake. Awe anajua kusuka mitindo mbalimbali na kufanya setting... Mshahara maelewano.... Kama una ndugu au rafiki ambaye unahis anaweza fanya kazi hio ni pm....
Anahitajika mdada wa saluni maeneo ya bugurun...ambaye atakuwa serious na kazi yake. Awe anajua kusuka mitindo mbalimbali na kufanya setting... Mshahara maelewano.... Kama una ndugu au rafiki ambaye unahis anaweza fanya kazi hio ni pm....
N nixp Senior Member Joined Aug 6, 2013 Posts 101 Reaction score 38 Aug 18, 2015 #2 Hiyo nafasi bado ipo