Nafasi ya kazi custom assistant 2

Ustadh tongwe

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2020
Posts
791
Reaction score
2,072
Ndugu zangu hv mlishaitwa kwenye interview kwenye post hii ambayo deadline yake ilikuwa mwezi 4 maana nilikuwa mbali na mtandao Hila account yangu Kila nikichungulia hamna kitu isije kuwa wengine kwenye account zao washatumiwa msg Mimi Bado nnasubiria tu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kama ni zile za TRA, hapana bado hawajaita, shusha pumzi, kuwa na amani mkuu.
 
Kama ni zile za TRA, hapana bado hawajaita, shusha pumzi, kuwa na amani mkuu.
Ahsante mkuu ngoja nisubiri,Hila inawezekana ikawa zimeghairishwa tena maana sio kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…