Wana JF,
Ndugu zetu wa Botswana wanatafuta mkurungezi wa mambo ya utafiti na maendeleo (Research and Development). Anatakiwa awe na PhD ya Science au uhandisi. Kwa maelezo zaidi soma attachment.
Asante kwa info. Tafadhali tujulishe pia nafasi ya fani nyingine tofauti tofauti ili kujaribu bahati zetu, iwe medical doctors, nutritionist, engineers, etc
Asante kwa info. Tafadhali tujulishe pia nafasi ya fani nyingine tofauti tofauti ili kujaribu bahati zetu, iwe medical doctors, nutritionist, engineers, etc
Baki nyumbani ufanye kazi hauna uchungu na akina mama wanaofariki kwa upungufu wa madaktari? kama wewe ni medical doctor na haujapata kazi hapa Tz ni PM nitakuunganisha na kazi haraka iwezekanavyo