K KIBADEN Member Joined Mar 15, 2012 Posts 6 Reaction score 3 Jul 25, 2013 #1 Jamani naulizia vp kuhusu nafasi za kazi TPDC zilizotangazwa mwezi wa Juni 2013 majina ya walioitwa kwenye interview yameshatoka au bado? Kama yametoka yanapatikana wapi?
Jamani naulizia vp kuhusu nafasi za kazi TPDC zilizotangazwa mwezi wa Juni 2013 majina ya walioitwa kwenye interview yameshatoka au bado? Kama yametoka yanapatikana wapi?