Nafasi ya Dereva wa gari la shule

Nafasi ya Dereva wa gari la shule

Joined
Oct 26, 2018
Posts
21
Reaction score
25
Anahitajika Dereva wa kike wa kuendesha Gari ya shule mwenye leseni class " C1 ama C2" Mwenye miaka kuanzia 28 mpaka 40 na awe anaishi kati ya maeneo ya Goba au karibu Na Goba. CV zitumwe kwa njia wa whatsapp kwa namba 0689 886 260, au kwa email kupitia nasaprimaryschool@gmail.com.
 
All the Best kwa dereva atakayepatikana
 
Akihitajika wa kiume nipo hapa leseni na hayo madaraja yote ninayo....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom