Nafasi mbalimbali za kazi

Nafasi mbalimbali za kazi

JOMBAAA UMETISHA SANA....KAMA UPO KARIBU KAMATA SAFARI YA BARIDI MWENDOKASI NA AGIZA KITIMOTO ROST NITALIPIA VIA TIGO PESA
 
Asante,
Nitafutie ya binti yangu amemaliza; logistic and transport management
 
unaweza omba na zote usiiiiiiiitwe du iyo ndo bongo
Kuitwa sio tatizo watu wanaitwa toka mtwara huko au kigoma wanakopa nauli kuja dar kufanya usaili.....kupata kazi sasa ndio ishu
 
Asante,
Nitafutie ya binti yangu amemaliza; logistic and transport management
Endelea kutembelea uzi huu mama unaweza pata nafasi yenye sifa za mwanao ...yeyote hapa anaweza kushare
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom