Nafasi kazi ya Salon

tahan96

Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
86
Reaction score
106
Wanahitajika wadada 3 kwa ajili ya kazi kwenye salon za kiume.

Qualities: Wawe smart na presentable. Age ni 20-27.

Salon ziko Musoma, so anybody yuko willing kufanya kazi au anajua mtu yoyote anae weza fanya kazi hit my dm.
 
Wanahitajika wadada 3 kwa ajili ya kazi kwenye salon za kiume.

Qualities: wawe smart na presentable. Age ni 20-27.

Salon ziko Musoma, so anybody yuko willing kufanya kazi au anajua mtu yoyote anae weza fanya kazi hit my dm.
Pamoja na kuita DM, kama hutojali weka mawasiliano hapa tunaweza kushare tangazo kwa marafiki, jamaa n.k
 
Nime weka namba hapa ila people are calling for wrong reasons ase. So kwa wenye uhitaji please ni DM tu. Nafasi moja iko occupied tayari.
 
Huja wahi kuta salon za kike pia kuna watu wa pedicure wa kiume??!
. Sasa hapo ndo naamini sisi waafrika hatujui tunataka nini Saloon ya kiume anakaa mwanamke? Ya mwanamke anakaa mwanaume? Sawah endeleeni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…