Nafasi 6 za kazi za clearing and forwarding

Nafasi 6 za kazi za clearing and forwarding

vita

Member
Joined
May 4, 2011
Posts
80
Reaction score
34
KUNA NAFASI 6 ZINAZOHITAJI KUJAZWA KATIKA KAMPUNI YA CLEARING AND FORWARDING.

KAZI:KUFANYA DECLARATION NA KUTENGENEZA DOCUMENTS KATIKA TANCIS SYSTEM(2)
KU-PROCESS DOCUMENTS SHIPPING LINES NA KWA CONSOLIDATORS(2)
KUTOA MIZIGO BANDARINI (2)
SIFA;ELIMU YA SEKONDARI KUANZIA KIDATO CHA SITA NA KUENDELEA
MWOMBAJI AWE NA CHETI CHA EAST AFRICAN CUSTOMS CLEARING AND FORWARDING PRACTICING CERTIFICATE

UJUZI:AWE NA UZOEFU WA MIAKA ANGALAU MIWILI KATIKA KAZI ZA CLEARING AND FORWARDING

LUGHA;AWE ANAJUA KUONGEA VIZURI KIINGEREZA NA KISWAHILI

MAOMBI YAKIAMBATANISHWA COPY ZA VYETI NA CV NA MAJINA YA WADHAMINI WAWILI WANAOTAMBULIKA YATUMWE KWENYE EMAIL :flagsectz@gmail.com

MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI HAYO NI 13/09/2015
 
Punguza vigezo hasa uzoefu utusaidie mkuu
 
Wabongo bana,mnalia hakuna kazi,jamaa kawaletea kazi badala mtume fast then mambo mengne watayajua wenyewe huko nyie mmekaa kujiliza eti mpunguziwe mashart.
Katka maombi ya kazi sio lazima utimize vigezo vyote wakuu,vinginevyo watu wangekua hawapati kazi.
 
Well said mkuu
 
mimi sijasomea clearing and forwading,ili nmekaa kwenye hii industry kwa mieze kadhaa....nikia nafanya kaz za utoaji mizigo bandarin.
je nafaa!!!!!
offer yenu ikoje
 
Back
Top Bottom