Tuwaseme
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 645
- 1,194
Habari zenu
Future Group Company inashukuru kwa wale wote waliojitokeza kupiga Simu kwa Ajili ya Kesho 02-02-2018 kufika kwenye Usahili wa nafasi ya Salesman.
Kama umechelewa tafadhali tunaomba ututumie CV yako kwenye Email hrfbde@gmail.com zikitokea nafasi nyengine tutawasiliana..
Kama umechaguliwa usisahau Kufika na
1. Kopi ya Vyeti Vyako
2. Passport size 2
3. Kitambulisho Cha kupigia Kura au Kitambulisho cha Taifa au Pasi ya Kusafiria.
Asanteni Sana