Security Group
Member
- Oct 3, 2013
- 10
- 8
Tusiopitia JKT hatufai mkuu mbona mnabagua
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mshahara ngapi?nijue nianzaje
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
makao makuu yao yapo, msasani, karibu na maisha club,maeneo ya morogoro store.kama unatumia usafiri wa daladala itabidi uteremkie hospital ya ccbrt kituo cha macho.Then bajaji ni kama 1500, hadi katika hizo ofisi zao.Mm ila mishahara yao labda kama wameongeza, na tatizo kubwa la hawa, kuna kampuni inaitwa iron sides,ndio mnaajiriwa nayo ila kila kitu kama uniform ni za SGS na malindo wanatafuta hao hao SGS, hivyo basi mshahara wako wanaopatana nao kule kwenye lindo ni kama laki 6, wao SGS wanachukua wanachukua percentage yao na iron sides wanachukua chao wewe unabakiziwa kama laki 2!!! hiyo ni basic salary.Ila kuna wengine ambao wameajiriwa na SGS direct, wao wanalipwa vizuri tu.na kwa mwezi unapewa kama shilingi elfu 20, kama nauli.Kuna jamaa yangu alikuwa pale alishindwa.Thanx kwa taarifa ila head quarter yao kwa hapa dar iko wapi kama mtu anaweza pekeka kwa mkono!
Kampuni hiyo ya Security Group ina kawaida ya kufukuza wafanyakazi kila siku na kuajiri kilasiku
Kampuni ya kimataifa ya ulinzi security group inawatangazia nafasi 100 za kazi kwa waliohitimu JKT tu. Mahali pa kazi ni Dar es salaam.
Barua ziandikwe kwa:
Meneja Mwajiri
Security Group (T) Ltd
P.O.Box 9390
Dar Es Salaam
Kwa mawasiliano zaidi: 0784 781 525
Barua zitumwe kabla ya tarehe 25/Sept/2014