Nafas zaidi ya 2000 za kazi may 2012

kwaio siku zote wenzako walivokua wanaweka ilo tangazo humu ulikua husomagi ama vp?? kifupi tangazo lako used but thanks
 
Kaka umeamka ukakuta jua linawaka basi na wewe ukapaza sauti kuamsha watu ukidhani wamelala. Hilo tangazo limetoka siku nyingi na kujaza mijadala humu. Au umetokea Tandahimba?
 
nafasi zinatupiwa mitandaon kila cku nashindwa kuelewa kitu kimoja;je inakua hivyo kuondoa utata wa kaz au bora liende?
 
Ni kweli tangazo limetoka siku nyingi lakini mimi namuunga mkono yule aliyelitangaza tena.wale waliomponda waache dharau.maana watu hawana kazi moja tu ya kufungua jamii forum kila siku .unaweza chukua muda mwingi hujafungua kwasababu ya majukumu mengine ya msingi.Nia yake ilikuwa ni nzuri tu tena hajawa mchoyo.ameamua kuwatangazia na wengine ambao hawajaona sio kila unachokijua na mwingine anajua na sio kila ulichokiona jana na mwingine alikiona hiyohiyo jana. Sisi wote ni watz tunahitaji kusaidiana na kuheshimiana bila kuvunjiana heshima.
 
kabla ya kutangaza anatakiwa afanye review ya angalau matangazo manne matano ivi, na ilo tangazo lilikua bado jipya na lilikua linafatana naili sasa nduguyangu kusoma hujui hata picha huoni.
 
acha hizo,threads nyingi kila siku zinapita,mda wowote mtu anapoona kitu kipya anaweza kushare na wengine,we kama unaona haifai unapotezea wengine wataipitia
 
izo zipi? Tangazo litoke jana asubui, mchana liwekwe kwa wanao2mia cmu afu we ukurupuke kama cku 3 ulete tena, hujui kusoma picha nayo uoni.
 
co kila mtu jamani an muda wa kuperuzi, acheni kumponda we mwenye muda huo mshkuru mungu wengine mpaka upate hilo buku la kwenda kuperuzi shughuli,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom