Nafas ya kaz

Joined
Sep 4, 2015
Posts
38
Reaction score
1
Nia na madhumun nikutoa taarifaa kwa nafasi ya kaz kitengo cha uwalimu mkuu ngazi kwa shule za secondary

Sifa
1.Awe mwenye stashahada ya uwalimu
2.Awe na uzoefu WA kazi hiyo takriban miaka 3
Kwa mawasiliano zaidi tumia namba zifuatazo
0786877133
0655221089
 
Mnatuumizaga tu hapo kwenye experience
 
Sio hivyo mpendwa coz ni ngaz ya m2 kua makini maana ndio ameibeba shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…