Nina Laptop mpya aina ya ACER EXTENSA 15. Ilikuja na Windows 11 nikaibadili kuwa Windows 10 Pro.
Ninapenda kuscroll kwa kutumia vidole viwili badala ya kutumia Scroll bar lakini hii pc haikubali. Nimejaribu kuUpdate windows lakini hakuna mabadiliko. Nafanyaje ili pc hii iweze kunipa huduma hii.
NATANGULIZA SHUKURANI WAKUU!