Hongera! Ila Tangazo lingenoga zaidi kama ungeweka na baadhi ya picha (za kazi ufanyazo eg. Nguo hata na mashine utumiazo)
**so vibaya ukaweka na namba ya whatsapp ili wapenda msambwanda wakuone full
Asante kaka kwa kunisaidia kujibuAcha kuudhihirisha ujinga wako!
Kwa attitude hii hupati mteja humu. Wabongo bahati mbaya
Nakuombea mafanikioHabari zenu wapendwa,, karibuni nafanya huduma ya kufua nguo kwa kutumia mashine na kupasi. Bei zangu ni nafuu kuanzia 1500, napatikana mabibo makuburi, ubungo Dar es salaam , maeneo yote ya Dar nafata nguo na kuzirudisha bure kabisa. Karibuni pm kwa maelezo zaidi karbu pm
Sent using Jamii Forums mobile app