Nafanya huduma ya dry cleaner's

Nafanya huduma ya dry cleaner's

mama love

Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
19
Reaction score
13
Habari zenu wapendwa,, karibuni nafanya huduma ya kufua nguo kwa kutumia mashine na kupasi. Bei zangu ni nafuu kuanzia 1500, napatikana mabibo makuburi, ubungo Dar es salaam , maeneo yote ya Dar nafata nguo na kuzirudisha bure kabisa. Karibuni pm kwa maelezo zaidi karbu pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera! Ila Tangazo lingenoga zaidi kama ungeweka na baadhi ya picha (za kazi ufanyazo eg. Nguo hata na mashine utumiazo)
**so vibaya ukaweka na namba ya whatsapp ili wapenda msambwanda wakuone full
 
Acha kuudhihirisha ujinga wako!
 
Habari zenu wapendwa,, karibuni nafanya huduma ya kufua nguo kwa kutumia mashine na kupasi. Bei zangu ni nafuu kuanzia 1500, napatikana mabibo makuburi, ubungo Dar es salaam , maeneo yote ya Dar nafata nguo na kuzirudisha bure kabisa. Karibuni pm kwa maelezo zaidi karbu pm

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuombea mafanikio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom