mkata-mkaa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 296
- 181
Asante mkuuu nakuja ukoUkifika pale Soweto kuna guest iko barabarani mkono wa kulia kama unatoka uyole muhudumu mmoja mweusi ana macho flani mtoto anaviuno hatari nusu niachwe na basi alfajiri
Karibu kaka huku ukiwa na akili na nguv utafanikiwa tu, kibiashara kwa kilimo na mambo menguna mkoa wetu una fursa nyingi zq kijana kuji kwamua kiuchumi karibu sana
Mkuu yakikushinda maisha dar basi una matatizo binafsi lasivyo ujitafakari!
mkoa huu hata ukifanya biashara ya supu ya ngozi ya ng'ombe unagombaniwa!
Du ..mkuu nime kusomaUkifika pale Soweto kuna guest iko barabarani mkono wa kulia kama unatoka uyole muhudumu mmoja mweusi ana macho flani mtoto anaviuno hatari nusu niachwe na basi alfajiri
Usijali mkuu mm nitakutafutaumesema huna unayemfahamu, mbona sasa huombi sisi wenyeji tukakupokea mkuu ?
Mkuu yakikushinda maisha dar basi una matatizo binafsi lasivyo ujitafakari!
mkoa huu hata ukifanya biashara ya supu ya ngozi ya ng'ombe unagombaniwa!
Dah...Nenda kajaribu bana...Dar watu wanatumia gesi .....wengi wameachana na habari ya mkaa😀😀😀Wakuu habar zenu.. wakuu nime amua kwenda kutafuta maisha mbeya ..sina ninaye mfahamu katika mkoa uo lakin nina iman maisha ya kule yatakuwa sio magumu kama ya Dar, nime jiandaa ki akili naamini nitafanikiwa katika safar yangu ya kuanzisha maisha mapya..wana JF mnao ishi uko naombeni ushauri wenu.
Sawa mkuu mm naenda tu bila ya kusitaDah...Nenda kajaribu bana...Dar watu wanatumia gesi .....wengi wameachana na habari ya mkaa😀😀😀
Ni vizuri Kwani kuna muingiliano wa wageni kumbuka mbeya imepakana na nchi mbili au Tatu hivi ,hivyo Ni rahisi kujiongezaSawa mkuu mm naenda tu bila ya kusita
Shukran mkuu kwa sapot yakoNi vizuri Kwani kuna muingiliano wa wageni kumbuka mbeya imepakana na nchi mbili au Tatu hivi ,hivyo Ni rahisi kujiongeza
bango
Kwa nini mkuu?Mbeya ni mji mzuri....lakini si mji mzuri wa kuanzia maisha....
Naomba namba yake tafadhali next week naenda huko!Ukifika pale Soweto kuna guest iko barabarani mkono wa kulia kama unatoka uyole muhudumu mmoja mweusi ana macho flani mtoto anaviuno hatari nusu niachwe na basi alfajiri