Naenda kumwambia Mama

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
Umeenda dangulo au sehemu yoyote Zinako patikana nyumba ndogo, umetongoza kama dakika mbili unagundua ni binti yako.

Utafanyaje mzee mzima na ndevu zako??? Na binti anaende kumwambia mama.
 
hawezi kwenda kusema kwa kuwa na yeye anafanya biashara haramu. Ila dingi aibu yako.
 
mkuu naamini ukitongoza lazima ni mtu unaemuona sasa ukishamshtukia ni mwanao kwa nini umtongoze??
 
Umeenda dangulo au sehemu yoyote Zinako patikana nyumba ndogo, umetongoza kama dakika mbili unagundua ni binti yako.

Utafanyaje mzee mzima na ndevu zako??? Na binti anaende kumwambia mama.

Nyie hamuwajui wanaume..........kama ni mimi nitasema nilikwenda kufanya upelelezi baada ya kusikia tetesi kuwa Binti yangu ni Changu Doa.............
 
Hilo litakuwa fundisho kwako kama mzazi kuachana na tabia za uzinzi na nyumba ndogo na pia ni fundisho kwa binti kuachana na tabia za kikahaba! Endapo kama itatokea huvyo na wote wawili watakuwa hawajajifunza kitu, basi ujue kuna serious problem kwenye ubongo wa baba ambao bintiye pia ameurithi!
 
veeeeeery simple, nilikuwa nahakiki taarifa za kuwa kujua km mwanangu ni changu, na nitamkalisha kitako pamoja na mama yake na tutamsuta mpaka akome. uanaume dume
 
Back
Top Bottom